Amrit Wilson
Amrit Wilson is a writer and activist on issues of race and gender in Britain and South Asian politics. She is a founder member of South Asia Solidarity Group and the Freedom Without Fear Platform, and board member of Imkaan,…
Kitabu hiki kinaturudisha katika kipindi cha kusisimuwa cha miaka ya vita baridi, kipindi ambacho, sambamba na kipindi cha leo, madola ya kibeberu yamekuwa yakifanya njama za kubadilisha serikali zilizokuwepo na kuziweka madarakani zile zenye kufuata amri. Kwa kutumia kumbukumbu za picha za Johari, nyaraka za siri za Marekani na Uingereza, pamoja na mahojiano ya kina, kitabu kinatowa uchambuzi juu ya nafasi na satwa ya Chama cha Umma Party nchini Zanzibar na kiongozi wake mwenye upeo mkubwa wa mambo, Mwanamapinduzi mfuasi wa Itikadi ya Karl Marx, Abdulrahman Mohamed Babu. Kwa kuangalia kwa njia ya uwiano wa mifano inayokwenda sambamba ya wahka wa Marekani kuhusu Uchina ya Kikomunisti katika miaka ya 1960 na woga walionao hivi sasa kuhusu ushawishi wa Uchina, kitabu kinatafakari juu ya mivutano mipya iliyopo katika kupigania rasilmali za Afrika, kuundwa kwa kikosi cha AFRICOM, na jinsi Wanasiasa wa Afrika Mashariki wanavyoshiriki katika kuimarisha udhibiti wa Marekani katika nchi zao, na “Vita dhidi ya Ugaidi” katika ukanda wa Afrika Mashariki hivi sasa.
Now available from Mkuki Na Nyota Publishers, Tanzania: http://www.mkukinanyota.com
USD $ 8.00 – USD $ 36.00Price range: USD $ 8.00 through USD $ 36.00
Amrit Wilson is a writer and activist on issues of race and gender in Britain and South Asian politics. She is a founder member of South Asia Solidarity Group and the Freedom Without Fear Platform, and board member of Imkaan,…
Kitabu hiki kinaturudisha katika kipindi cha kusisimuwa cha miaka ya vita baridi, kipindi ambacho, sambamba na kipindi cha leo, madola ya kibeberu yamekuwa yakifanya njama za kubadilisha serikali zilizokuwepo na kuziweka madarakani zile zenye kufuata amri. Kwa kutumia kumbukumbu za picha za Johari, nyaraka za siri za Marekani na Uingereza, pamoja na mahojiano ya kina, kitabu kinatowa uchambuzi juu ya nafasi na satwa ya Chama cha Umma Party nchini Zanzibar na kiongozi wake mwenye upeo mkubwa wa mambo, Mwanamapinduzi mfuasi wa Itikadi ya Karl Marx, Abdulrahman Mohamed Babu. Kwa kuangalia kwa njia ya uwiano wa mifano inayokwenda sambamba ya wahka wa Marekani kuhusu Uchina ya Kikomunisti katika miaka ya 1960 na woga walionao hivi sasa kuhusu ushawishi wa Uchina, kitabu kinatafakari juu ya mivutano mipya iliyopo katika kupigania rasilmali za Afrika, kuundwa kwa kikosi cha AFRICOM, na jinsi Wanasiasa wa Afrika Mashariki wanavyoshiriki katika kuimarisha udhibiti wa Marekani katika nchi zao, na “Vita dhidi ya Ugaidi” katika ukanda wa Afrika Mashariki hivi sasa.
Unaweza kusoma kitabu hiki mtandaoni bila malipo.
Amrit Wilson amechota kutoka vyanzo mbalimbali maelezo yaliyomuwezesha kuandika kuhusu Zanzibar ya nyakati za sasa. Kitabu hiki kinastahiki kusomwa na walio wengi. MAHMOOD MAMDANI, Profesa wa Masuala ya Utawala katika Chuo Kikuu cha Herbert Lehman, na Profesa wa Anthropologia katika Chuo Kikuu cha Columbia.
Amrit Wilson anafanya uchambuzi wa kina wenye kugusa hisia za msomaji kuhusu mapambano halisi na thabit dhidi ya ukoloni mamboleo kama vile ambavyo yamekuwa yakijitokeza na kuendeshwa nchini Zanzibar na Tanzania. Kwa kutumia nyaraka ambazo hapo awali zilikuwa hazipatikani, ameweza kumvuta msomaji na kumpeleka katika harakati za miaka ya 1960 ambazo zingeliweza kuleta mabadiliko ya maana ya kimapinduzi nchini Zanzibar, na yumkini pia katika sehemu nyengine za Afrika Mashariki, kama harakati hizo zisingelitekwa nyara … Baadhi ya sehemu za maelezo ya kitabu yanatowa taswira na hisia zinazomfanya msomaji kujihisi yumo kuwemo katika kusoma riwaya !
BILL FLETCHER, JR.. mwandishi na mwanaharakati, mwandishi-mwenza wa Solidarity Divided na pia mwandishi-mwenza wa Claim No Easy Victories: The Legacy of Amilcar Cabral
AMRIT WILSON ni mwandishi na mwanaharakati. Miongoni mwa vitabu vyake ni pamoja na Dreams, Questions, Struggles: South Asian Women in Britain (Pluto Press, 2006), “Ndoto, Maswali, Mapambano: Wanawake wa Asia ya Kusini Ulaya ya Uingereza” na US Foreign Policy and Revolution: The Creation of Tanzania (Pluto Press, 1989) “Sera ya Mambo ya Nje ya Marekani na Mapinduzi: Kuundwa kwa Tanzania”
| SKU: | N/A |
|---|---|
| Categories: | African, Imperialism, Political Freedom & Security, Political Science, Social Science |
| Tags: | Abdulrahman Mohamed Babu, Africa, CIA, Cold War, Colonialism, Ethnic conflict, revolution, Swahili, Tanzania, Zanzibar |
| Weight | N/A |
|---|---|
| Dimensions | N/A |
| Book Format | Print Book, PDF |
irst published in 1978, and winning the Martin Luther King Memorial Prize for that year, Finding a Voice established a new discourse on South Asian women’s lives and struggles in Britain. Through discussions, interviews and intimate one-to-one conversations with South Asian women, in Urdu, Hindi, Bengali and English, it explored family relationships, the violence of immigration policies, deeply colonial mental health services, militancy at work and also friendship and love. The seventies was a time of some iconic anti-racist and working-class struggles. They are presented here from the point of view of the women who participated in and led them.
This new edition includes a preface by Meena Kandasamy, some historic photographs, and a remarkable new chapter titled ‘In conversation with Finding a Voice: 40 years on’ in which younger South Asian women write about their own lives and struggles weaving them around those portrayed in the book.
The Travails of a Tanzanian Teacher is a riveting account of the bumpy first decade of the work life of Karim F Hirji, a retired Professor of Medical Statistics. Filled with a distinctive variety of eye-opening episodes, it covers lecturing at the University of Dar es Salaam, the life of a political exile in a remote rural area and the challenges of setting up from scratch a one-of-a-kind educational institute in Africa. With a style that seamlessly combines the personal with the general, Hirji provides an illuminating description of different aspects of the Tanzanian political, educational, economic and rural landscape during the 1970s. Starting with a commentary on teacher training, he concludes with a critical comparison of modern university education in the nation with that of the earlier era.
These poems by Issa Shivji, lawyer, activist and Tanzanian public intellectual, were written at different times in different circumstances. They give vent to personal anguish and political anger. Mostly originally written in Kiswahili, here accompanied by English translations, and they are intensely personal and political.
Poems are clustered under several headings to provide a context. The first combines personal agony at the loss of comrades and friends with poems about love and affection for living ones. The second is about robberies of freedom, resources, and dignity and the loss of justice under neoliberalism. The third section, entitled Hopes and Fears, comprises short poems tweeted over the last five years expressing despair, fear and hope in the human capacity for freedom.
The last section are poems, concerned with Shivji’s period in South Africa in 2018, reflect on the emergence of neo-apartheid with its wanton and shameless exploitation of the majority.
Wonderfully translated by Ida Hadjivayanis.
Moçambique celebrou, em Junho de 2020, 45 anos de sua independência. Os ganhos e avanços que o país alcançou nesta quase meia década de independência são inegáveis, mas os desafios que subsistem são muitos. Este livro reflecte sobre Moçambique contemporâneo nos seus vários aspectos, destacando a formação e o papel do Estado, a democracia, a participação dos cidadãos, a política económica e social e o desenvolvimento. Como se pode ver, o livro não é temático e oferece diversas perspectivas de autores e autoras que se dedicam à investigação, ao jornalismo e ao activismo. O livro pretende exactamente oferecer uma leitura do país a partir dos olhos daqueles que não ocupam uma posição de poder mas que vivem, experienciam e lêem a realidade do país a partir de uma perspectiva crítica da sociedade.
O objectivo deste livro é dar uma melhor compreensão do que tem sido o processo de independência em Moçambique e porque é que o país pós-colonial ainda é ‘colonial’ na sua estrutura política e económica. Assim, são dados muitos exemplos para dar ao leitor a possibilidade de confrontar as perspectivas teóricas aqui utilizadas com os casos concretos.
Todos os estudos deste livro mostram que quarenta e cinco anos de independência não foram vividos da mesma forma pelas elites que governam o país e pelas populações que vivem sob o seu domínio. Por um lado, as elites no poder e os seus parentes beneficiaram, e ainda beneficiam, dos recursos do país, enquanto que uma grande parte da população continua à espera das promessas da independência. De um ponto de vista político e económico, os estudos que compõem o livro destacam como o “desenvolvimento” em Moçambique tem estado em contradição com as necessidades do país. Significa que o actual modelo de desenvolvimento responde muito mais ao capital internacional do que à transformação social de Moçambique.
As the oldest (and arguably best-known) university in Uganda and the wider eastern and central Africa region, Makerere University looms large in the history of higher education on the continent. Alma mater to presidents, public intellectuals and pundits of all disciplines, Makerere has attracted considerable scholarly and popular attention, both in respect of its prominence and achievements, and well as with regard to its failures and foibles. The proposed book focuses on a particularly understudied aspect of the place of higher education in the African context, i.e. the relationship between a public university of unique historical importance and the contestations over democratization that have taken place both within campus and outside of it. It is built around the late-1980s struggle by the Makerere University Academic Staff Association (MUASA) for improved living conditions against the backdrop of the early programs of structural adjustment and economic reform that the National Resistance Army/Movement (NRA/M) government adopted soon after taking power in 1986. Although seemingly introverted in focus, in many respects the MUASA action represented the earliest forms of political struggle against a regime of governance that promised a great deal, but disappointingly delivered considerably less.
The focus on MUASA provides a critical entry-point to a wider debate about the place of organized democratic action by academics in a post-conflict context where the traditional institutions of political and civil society, i.e. political parties and non-governmental organizations (NGOs) have either been severely compromised or discredited, or where they are too weak and inorganic to provide any form of significant counter-juxtaposition to the government in power. By organizing the first strike by academic staff in the sixty-seven (67) year history of the university, for a time MUASA became the focal-point for democratic organizing against a regime that was yet to fully expose its nefarious and anti-democratic colours. The book examines the broader issues concerning the relationship between organized academic action and democratization; the place of the Media in reviewing these struggles; the position of students as a critical component of academe; “big P” and “small p” politics affecting female academics, and finally, the paradoxical role of the School of Law in both aiding and inhibiting the struggle against dictatorship in a country which has enjoyed
Dictators as Gatekeepers for Europe is a detailed journalistic account of how the EU is attempting to limit mobility within the African continent as a matter of the EU’s domestic policy agenda, hence the title hinting at the many agreements (with Turkey, Libya, Sudan) aimed at blocking migrants from approaching the European continent. The new “Berlin Wall” not only encircles Europe, but also generates a proliferation of militarised borders in Africa. …To summarise, the authors argue, Europe desires protected borders and open markets. The novelty is the amount of material that this book contains about African desires and strategies, both as a continent and as single states. This, in particular, makes the work a collection of extremely valuable directions of research. In fact, Africa, if one were to simplify the continent’s intentions, is depicted as aspiring to the exact opposite of Europe, namely open borders (with the African Union aspiring to free movement within the continent) and protected markets (protected from Western corporate predatory strategies). Moreover, contrary to the narrative of aid according to which the West “helps develop” Africa, the figures quoted by the authors suggest the opposite: while Sub-Saharan Africa receives $134 billion a year in development funding, $192 billions flow out of Africa, with $46 billion in profit for major corporations and another $35 billion vanishing in tax havens (218). https://www.law.ox.ac.uk/research-subject-groups/centre-criminology/centreborder-criminologies/blog/2022/02/double-book by Oana Pârvan.
From his home in El Salvador, the author shares an intimate personal and political memoir that follows his remarkable journey from the comfort and security of a picturesque New England town to a stirring and heroic engagement in common cause with the struggle for peace and justice in El Salvador. After four years as a Peace Corp worker in northern Liberia beginning in the late 1960’s, followed by a stretch back in the United States as a street worker in the ghettos of North Philadelphia, McKinley finds himself in Central America as an aid worker in 1978. He quickly becomes engulfed by the political violence of the region and engaged with the people and their struggles against five decades of military dictatorship, centuries of poverty and exploitation. The story is marked by terror, adventure and courage, by trials and tragedy redeemed by the beauty and transcendence of people in struggle. Originally based in Guatemala heading up a Catholic relief agency, his commitment to the struggles for change in the country attracts the attention of the military, and his own government, forcing him to leave the country in late 1980. He moves to El Salvador where he begins a gradual incursion into the revolutionary struggle of this country, in a commitment that will last the rest of his life. Interwoven with this personal journey, is the story of Teresa Rivas, her husband Antonio, and their five children, a peasant family It also describes their life after the war, with resettlement in the lowlands of Guazapa where many ex-combatants were building a new life. It explains in detail the gradual emergence of the objective and subjective conditions for revolution in El Salvador, including the difficult choice for the use of violence as the only available option for transformative change in the country. The book also details the challenges of reconstruction after the Peace Accords that end the war in 1992, and the tragedy of opportunities lost during the immediate post-war period in the face of the ongoing resistance of traditional opponents to reform. As the memoir closes, the author reflects on his choice to be in El Salvador over the past 43 years, and the country as he finds it in these changing times; on the family with whom he has shared love and life there; on his continuing relationship with Antonio Rivas and his surviving family; and his gradual reconciliation, from a distance, with the country of his birth.
Africa Matters: Cultural politics, political economies, & grammars of protest provides a sampling of insightful articles from the first five issues of Nokoko, journal of the Institute of African Studies, Carleton University, Ottawa, Canada. It brings together pieces that the journal’s editorial board felt were particularly perspicacious in their analysis and resonant in their crafting. Uniting them in this book permits a new dialogue to emerge around the key themes of cultural politics, political economies and grammars of protest. Their intersection here sheds light on important issues for Africans in the twenty-first century.
Ce livre est un apport précieux pour demander à changer de focale et de perspective au sujet des migrations à l’intérieur du continent africain. Celles-ci sont bien plus importantes quan- titativement, mais aussi économiquement et historiquement, que les migrations de l’Afrique vers l’Europe. Elles sont beaucoup plus silencieuses et infiniment moins étudiées que celles du Sud vers le Nord. Ces migrations sont vitales, tant pour les pays de départ que pour ceux d’arrivée. Ainsi, des millions de jeunes partent chaque année pour les pays de la côte, et cela sans susciter les mêmes résistances, fantasmes et peurs qu’en Europe.
Cet ouvrage a le grand mérite d’intégrer les migrations dans la perspective plus large des mobilités, puis d’en examiner les liens avec le développement. Il est rédigé par de jeunes chercheurs africains, qui produisent à partir de leurs terrains spécifiques des analyses à valeur générale sur les sociétés contemporaines. Ils contribuent ainsi au renouvellement des sciences sociales à partir des pays africains.
On peut en revanche souligner que l’ouvrage a relevé un défi important : celui d’éclairer à la fois les dynamiques de l’expérience migratoire, des trajectoires suivies par les migrants et des espaces migratoires à l’intérieur de l’Afrique. — Sylvie Ayimpam, « Mobilités, circulations et frontières. Migrations, mobilités et développement en Afrique », Anthropologie & développement [En ligne], 51 | 2020, mis en ligne le 01 décembre 2020, consulté le 23 février 2021. URL : http://journals.openedition.org/anthropodev/1068 ; DOI : https://doi.org/10.4000/anthropodev.1068
These companion volumes are refreshing because they introduce us to many less well- known instances which amply illustrate just how mobile African populations really are at the regional, intra-regional and global scales. – Paul NUGENT, University of Edinburgh (United Kingdom)
Un ouvrage d’une grande actualité qui aborde la question des migrations sous un angle radicalement nouveau et original : l’articulation dynamique entre la migration, la mobilité et le développement en Afrique de l’Ouest. Ces deux volumes bilingues renouvellent le débat sur les migrations : de quoi faire réfléchir ensemble l’Afrique et l’Europe. – Marie-Caroline SAGLIO-YATZIMIRSKY, INALCO, CESSMA Paris (France)
Christian Bouquet, « Quelques éclairages nouveaux sur les migrations africaines », EspacesTemps.net [En ligne], Books, 2020 | Mis en ligne le 20 November 2020, consulté le 20.11.2020. URL : https://www.espacestemps.net/en/articles/quelques-eclairages-nouveaux-sur-les-migrations-africaines/ ; DOI : 10.26151/esapcestemps.net-jc2a-6b03
Avec la participation de Naluwembe BINAISSA, Alimou DIALLO, Nyalo Barkissa DRABO, Sylvester KOHOL, A. Aziz MOSSI, Loppa NGASSOU, Lawrence Rafaih OKELLO, Mutiat Titilope OLADEJO, Zakaria SORÉ, Astadjam YAOUBA et Irissa ZIDNABA.
A wave of mass protest movements has spread across North Africa and West Asia, including Sudan, Algeria, Iraq, Lebanon and Iran. The mass protests have much in common, from opposing authoritarian regimes and worsening economic situations to demanding radical changes in social relations. Despite their similarities, each protest movement operates under different conditions that cannot be ignored. The specific historic, political and economic contexts of each country have determined who the key actors of the uprisings are and their location across old and new divides. This book elaborates on these similarities and differences to paint a clearer picture of these movements and draw out lessons to inform future struggles.
Given the growing interest in understanding the meaning, manifestations, analyses and implications of racism in North/South relations, White Saviorism in International Development seeks to remedy the shortcomings of the development studies literature on the prevalence of White Saviorism in Western development initiatives in the Global South. The volume comprises theoretical chapters, testimonies, stories and lived experiences from 19 contributors from across the Global South. With sensitivity and intelligence, these practitioners and academics create a tapestry that unveils the implicit and explicit forms of White Saviorism in international development.
DarajaPress uses Accessibility Checker to monitor our website's accessibility.
We noticed you're visiting from Canada. We've updated our prices to Canadian dollar for your shopping convenience. Use United States (US) dollar instead. Dismiss


