Amrit Wilson
Amrit Wilson is a writer and activist on issues of race and gender in Britain and South Asian politics. She is a founder member of South Asia Solidarity Group and the Freedom Without Fear Platform, and board member of Imkaan,…
Free shipping for all orders to the USA, Canada, EU, and UK.
Kitabu hiki kinaturudisha katika kipindi cha kusisimuwa cha miaka ya vita baridi, kipindi ambacho, sambamba na kipindi cha leo, madola ya kibeberu yamekuwa yakifanya njama za kubadilisha serikali zilizokuwepo na kuziweka madarakani zile zenye kufuata amri. Kwa kutumia kumbukumbu za picha za Johari, nyaraka za siri za Marekani na Uingereza, pamoja na mahojiano ya kina, kitabu kinatowa uchambuzi juu ya nafasi na satwa ya Chama cha Umma Party nchini Zanzibar na kiongozi wake mwenye upeo mkubwa wa mambo, Mwanamapinduzi mfuasi wa Itikadi ya Karl Marx, Abdulrahman Mohamed Babu. Kwa kuangalia kwa njia ya uwiano wa mifano inayokwenda sambamba ya wahka wa Marekani kuhusu Uchina ya Kikomunisti katika miaka ya 1960 na woga walionao hivi sasa kuhusu ushawishi wa Uchina, kitabu kinatafakari juu ya mivutano mipya iliyopo katika kupigania rasilmali za Afrika, kuundwa kwa kikosi cha AFRICOM, na jinsi Wanasiasa wa Afrika Mashariki wanavyoshiriki katika kuimarisha udhibiti wa Marekani katika nchi zao, na “Vita dhidi ya Ugaidi” katika ukanda wa Afrika Mashariki hivi sasa.
Now available from Mkuki Na Nyota Publishers, Tanzania: http://www.mkukinanyota.com
USD $ 5 – USD $ 25Price range: USD $ 5 through USD $ 25
Amrit Wilson is a writer and activist on issues of race and gender in Britain and South Asian politics. She is a founder member of South Asia Solidarity Group and the Freedom Without Fear Platform, and board member of Imkaan,…
Kitabu hiki kinaturudisha katika kipindi cha kusisimuwa cha miaka ya vita baridi, kipindi ambacho, sambamba na kipindi cha leo, madola ya kibeberu yamekuwa yakifanya njama za kubadilisha serikali zilizokuwepo na kuziweka madarakani zile zenye kufuata amri. Kwa kutumia kumbukumbu za picha za Johari, nyaraka za siri za Marekani na Uingereza, pamoja na mahojiano ya kina, kitabu kinatowa uchambuzi juu ya nafasi na satwa ya Chama cha Umma Party nchini Zanzibar na kiongozi wake mwenye upeo mkubwa wa mambo, Mwanamapinduzi mfuasi wa Itikadi ya Karl Marx, Abdulrahman Mohamed Babu. Kwa kuangalia kwa njia ya uwiano wa mifano inayokwenda sambamba ya wahka wa Marekani kuhusu Uchina ya Kikomunisti katika miaka ya 1960 na woga walionao hivi sasa kuhusu ushawishi wa Uchina, kitabu kinatafakari juu ya mivutano mipya iliyopo katika kupigania rasilmali za Afrika, kuundwa kwa kikosi cha AFRICOM, na jinsi Wanasiasa wa Afrika Mashariki wanavyoshiriki katika kuimarisha udhibiti wa Marekani katika nchi zao, na “Vita dhidi ya Ugaidi” katika ukanda wa Afrika Mashariki hivi sasa.
Unaweza kusoma kitabu hiki mtandaoni bila malipo.
Amrit Wilson amechota kutoka vyanzo mbalimbali maelezo yaliyomuwezesha kuandika kuhusu Zanzibar ya nyakati za sasa. Kitabu hiki kinastahiki kusomwa na walio wengi. MAHMOOD MAMDANI, Profesa wa Masuala ya Utawala katika Chuo Kikuu cha Herbert Lehman, na Profesa wa Anthropologia katika Chuo Kikuu cha Columbia.
Amrit Wilson anafanya uchambuzi wa kina wenye kugusa hisia za msomaji kuhusu mapambano halisi na thabit dhidi ya ukoloni mamboleo kama vile ambavyo yamekuwa yakijitokeza na kuendeshwa nchini Zanzibar na Tanzania. Kwa kutumia nyaraka ambazo hapo awali zilikuwa hazipatikani, ameweza kumvuta msomaji na kumpeleka katika harakati za miaka ya 1960 ambazo zingeliweza kuleta mabadiliko ya maana ya kimapinduzi nchini Zanzibar, na yumkini pia katika sehemu nyengine za Afrika Mashariki, kama harakati hizo zisingelitekwa nyara … Baadhi ya sehemu za maelezo ya kitabu yanatowa taswira na hisia zinazomfanya msomaji kujihisi yumo kuwemo katika kusoma riwaya !
BILL FLETCHER, JR.. mwandishi na mwanaharakati, mwandishi-mwenza wa Solidarity Divided na pia mwandishi-mwenza wa Claim No Easy Victories: The Legacy of Amilcar Cabral
AMRIT WILSON ni mwandishi na mwanaharakati. Miongoni mwa vitabu vyake ni pamoja na Dreams, Questions, Struggles: South Asian Women in Britain (Pluto Press, 2006), “Ndoto, Maswali, Mapambano: Wanawake wa Asia ya Kusini Ulaya ya Uingereza” na US Foreign Policy and Revolution: The Creation of Tanzania (Pluto Press, 1989) “Sera ya Mambo ya Nje ya Marekani na Mapinduzi: Kuundwa kwa Tanzania”
| SKU: | N/A |
|---|---|
| Categories: | African, Imperialism, Political Freedom & Security, Political Science, Social Science |
| Tags: | Abdulrahman Mohamed Babu, Africa, CIA, Cold War, Colonialism, Ethnic conflict, revolution, Swahili, Tanzania, Zanzibar |
| Weight | N/A |
|---|---|
| Dimensions | N/A |
| Book Format | Print Book, PDF |
The Travails of a Tanzanian Teacher is a riveting account of the bumpy first decade of the work life of Karim F Hirji, a retired Professor of Medical Statistics. Filled with a distinctive variety of eye-opening episodes, it covers lecturing at the University of Dar es Salaam, the life of a political exile in a remote rural area and the challenges of setting up from scratch a one-of-a-kind educational institute in Africa. With a style that seamlessly combines the personal with the general, Hirji provides an illuminating description of different aspects of the Tanzanian political, educational, economic and rural landscape during the 1970s. Starting with a commentary on teacher training, he concludes with a critical comparison of modern university education in the nation with that of the earlier era.
These poems by Issa Shivji, lawyer, activist and Tanzanian public intellectual, were written at different times in different circumstances. They give vent to personal anguish and political anger. Mostly originally written in Kiswahili, here accompanied by English translations, and they are intensely personal and political.
Poems are clustered under several headings to provide a context. The first combines personal agony at the loss of comrades and friends with poems about love and affection for living ones. The second is about robberies of freedom, resources, and dignity and the loss of justice under neoliberalism. The third section, entitled Hopes and Fears, comprises short poems tweeted over the last five years expressing despair, fear and hope in the human capacity for freedom.
The last section are poems, concerned with Shivji’s period in South Africa in 2018, reflect on the emergence of neo-apartheid with its wanton and shameless exploitation of the majority.
Wonderfully translated by Ida Hadjivayanis.
irst published in 1978, and winning the Martin Luther King Memorial Prize for that year, Finding a Voice established a new discourse on South Asian women’s lives and struggles in Britain. Through discussions, interviews and intimate one-to-one conversations with South Asian women, in Urdu, Hindi, Bengali and English, it explored family relationships, the violence of immigration policies, deeply colonial mental health services, militancy at work and also friendship and love. The seventies was a time of some iconic anti-racist and working-class struggles. They are presented here from the point of view of the women who participated in and led them.
This new edition includes a preface by Meena Kandasamy, some historic photographs, and a remarkable new chapter titled ‘In conversation with Finding a Voice: 40 years on’ in which younger South Asian women write about their own lives and struggles weaving them around those portrayed in the book.
This book collects four decades of writings on dialectics, a number of them published here for the first time, by Kevin B. Anderson, a well-known scholar-activist in the Marxist-Humanist tradition. The essays cover the dialectics of revolution in a variety of settings, from Hegel and the French Revolution to dialectics today and its poststructuralist and pragmatist critics. In these essays, particular attention is given to Lenin’s encounter with Hegel and its impact on the critique of imperialism, the rejection of crude materialism, and more generally, on world revolutionary developments. Major but neglected works on Hegel and dialectics written under the impact of the struggle against fascism like Lukács’s The Young Hegel and Marcuse’s Reason and Revolution are given full critical treatment. Dunayevskaya’s intersectional revolutionary dialectics is also treated extensively, especially its focus on a dialectics of revolution that avoids class reductionism, placing gender, race, and colonialism at the center alongside class. In addition, key critics of Hegel and dialectics like Jacques Derrida, Michel Foucault, Antonio Negri, Pierre Bourdieu, and Richard Rorty, are themselves analysed and critiqued from a twenty-first century dialectical perspective. The book also takes up the dialectic in global, intersectional settings via a reconsideration of the themes of Anderson’s Marx at the Margins, where nationalism, race, and colonialism were theorized alongside capital and class as key elements in Marxist dialectical thought. As a whole, the book offers a discussion of major themes in the dialectics of revolution that still speak to us today at a time of radical transformation in all spheres of society and of everyday life.
This is a collection of observations and meditations by Professor Emeritus (York University, Toronto) and philosopher Ato Sekyi-Otu on events, issues, people and ideas culled from recent history and the world, from the US and Canada to Ghana. If there is a persistent thread in these entries, it is this: Virtually all of them testify to the ironic truth of the saying that there is no place like home, no place, that is to say, which looks like the lodestar called home or comes close to approximating its promise of being a just space of human flourishing. Most of the entries are, therefore, harsh, particularly those on the USA. That is because that nation, in his view, has, in recent history, made a major contribution to rendering the world and every homestead we inhabit unhomely and sabotaging attempts to better it. But no one or place is spared, certainly not the author’s native land, Ghana. Canada appears intermittently in these pages in rather fragmentary and contrastive observations. That paucity of comments may be taken to be the complement the author pays to Canada as a place of relative civility and glimmers of decency in a mad and cruel world. It is a short work of predominantly gloomy pictures. But there are a few countervailing images and invocations of hope here and there. There are 166 entries of unequal lengths arranged around 14 headings. These epigrams are contrapuntal variations on the philosopher’s searing imprecation and visionary invocation: unfinished ode, resounding with intermittent fury, to the dawn of human existence set free from all tyrannizing enclosures.
À rebours des thèses soutenant que la migration contribue au développement ou que l’in- vestissement dans le développement réduit la croissance de la migration « irrégulière », ce livre marque une rupture tonifiante avec les idées communes abondamment véhiculées dans la littérature sur les liens entre migration, mobilités et développement en Afrique. Il accorde un intérêt manifeste pour la plus grande part des mobilités africaines, lesquelles se situent à l’intérieur du continent, et à la formation des diasporas en dehors des fron- tières nationales et continentales. Cette considération conjointe des mobilités « Sud-Sud » et « Sud-Nord » permet de remettre en cause l’hypothèse selon laquelle il existe des diffé- rences fondamentales entre elles.
Cet ouvrage examine les fluctuations ordinaires des mouvements de populations – à travers l’Afrique, comme dans le reste du monde –, qui étendent les familles, génèrent de nouvelles relations, reconfigurent les connexions économiques et politiques, et sont intégrées dans l’expérience quotidienne des millions de personnes qui y prennent part.
The in-depth knowledge of the mostly African authors adds to the quality of a research field, which was for long far too Eurocentric. – Ilke ADAM, Vrije Universiteit Brussel (Belgium)
Il était temps de mettre en lumière ce que migration et mobilité représentent en Afrique. L’ouvrage offre une perspective originale et décoloniale sur le sujet. – Eric HAHONOU, Roskilde Universitet (Denmark)
Christian Bouquet, « Quelques éclairages nouveaux sur les migrations africaines », EspacesTemps.net [En ligne], Books, 2020 | Mis en ligne le 20 November 2020, consulté le 20.11.2020. URL : https://www.espacestemps.net/en/articles/quelques-eclairages-nouveaux-sur-les-migrations-africaines/ ; DOI : 10.26151/esapcestemps.net-jc2a-6b03
Avec la participation de John O. IGUE, Saydou KOUDOUGOU, Pierre-Joseph LAURENT, Bassirou MALAM SOULEY, Hamidou MANOU NABARA, Marème NIANG NDIAYE, Amadou SARR DIOP, Sadio SOUKOUNA , Eric Stève TAMO MBOUYOU et Astadjam YAOUBA.
This pamphlet tackles the question: how do we get from A to B, capitalism to post-capitalism?
It is critical reading to understand why:
* Capitalist-oriented industrial agriculture and its destruction of habitat are the upstream causes that led to the COVID-19 pandemic as well as other past and future pandemics of devastating, emerging viral pathogens.
* COVID-19 may trigger a collapse of the global capitalist system but it is not the cause.
* Health-care and public-health systems organized around capitalist principles don’t do well in pandemics, compared to those not organized around capitalist principles.
* The current economic collapse, triggered by a pandemic, opens a door for revolutionary transformation.
The pamphlet is also available in Spanish and Korean.
Description (1600 / 2500)
It is important to see both Marx’s brilliant generalisations about capitalist society and the very concrete ways in which he examined not only class, but also gender, race, and colonialism, and what today would be called the intersectionality of all of these. His underlying revolutionary humanism was the enemy of all forms of abstraction that denied the variety and multiplicity of human experience, especially as his vision extended outward from Western Europe. For these reasons, no thinker speaks to us today with such force and clarity.
It is clear today that the emancipation of labour from capitalist alienation and exploitation is a task that still confronts us. Marx’s concept of the worker is not limited to European white males, but includes Irish and Black super-exploited and therefore doubly revolutionary workers, as well as women of all races and nations. But, his research and his concept of revolution go further, incorporating a wide range of agrarian non-capitalist societies of his time, from India to Russia and from Algeria to the Indigenous peoples of the Americas, often emphasising their gender relations. In his last, still partially unpublished writings, he turns his gaze Eastward and Southward. In these regions outside Western Europe, he finds important revolutionary possibilities among peasants and their ancient communistic social structures, even as these are being undermined by their formal subsumption under the rule of capital. In his last published text, he envisions an alliance between these non-working-class strata and the Western European working class.
John S. Saul, born and first educated in Toronto, Canada, moved to Tanzania almost sixty years ago and, since then, has also taught in Mozambique and South Africa as well as back in Canada at York University. In Tanzania, he discovered the centrality of the war for freedom from white rule and global capitalist dictate then taking shape further south – in Mozambique, Angola, Zimbabwe, Namibia and South Africa. Both his scholarly interest and his activist bent drew him to support and to seek to better understand the struggles in these nations-in-the-making, a political choice that now culminates in a final trilogy of books under the general title, The Rethinking Southern African Liberation Trilogy. The first volume of this trilogy, On Building a Social Movement: The North American Campaign for Southern African Liberation Revisited, was published by Africa World Press / Fernwood Books (2017). The present book is the second in that trilogy, with a third volume entitled Class, Race and the Thirty Years War for Southern African Liberation – A History set to conclude his work to be published by Cambridge University Press in 2022.
Here, Saul’s extended first chapter lays out the broad premises of the thinking that has guided his endeavours, ideas that takes the core reality of economic production and exploitation centrally but that are alive to the tangible impact on outcomes of a wide range of other social realities, including class, race, gender, sexuality, nationalism, the environment, politics and the state. A second section covers the essential unity of theory and political practice that underpins Saul’s findings. And a third and final section paints illuminating pictures of some core aspects of the diverse regional contexts — sites of both recolonization and continuing struggle, and all contexts whose trajectories will be further explored in his forthcoming third volume.
In Decolonization and Afro-Feminism, Sylvia Tamale presents a powerful and urgent call for Africa’s intellectual, cultural, and political liberation through an Afro-feminist lens. The book critically examines how colonialism has deeply entrenched systems of oppression—based on race, gender, sexuality, class, and knowledge production—and argues that true decolonization requires more than political independence; it demands a radical rethinking of African identities, histories, and futures.
Tamale challenges Eurocentric and patriarchal frameworks that continue to dominate African societies, institutions, and academia. She explores themes such as:
The coloniality of gender and sexuality, using case studies like Caster Semenya to expose how Western norms pathologize African bodies.
The importance of intersectionality in understanding overlapping systems of oppression.
The role of Afro-ecofeminism in reconnecting African ecological wisdom with social justice.
The need to decolonize African academia, law, and family structures to recenter Indigenous knowledge and epistemologies.
The potential of Ubuntu as a framework for justice, community, and relationality.
The book is both a scholarly critique and a visionary roadmap, emphasizing that decolonization must be a feminist, inclusive, and holistic project—one that reclaims Africa’s dignity, autonomy, and intellectual sovereignty.
Written with clarity and passion, Decolonization and Afro-Feminism is essential reading for students, activists, scholars, and anyone committed to understanding and advancing Africa’s liberation in the 21st century.
The pamphlet begins with two letters written by Paul the Apostle in which Christianity first acquires a universal address. The new religion came to exclude people who were not Christians from the count of the human. This became explicit around a thousand years later when Pope Urban II authorised the First Crusade.
In 1492 planetary history was split in to two. Muhammad XII of Granada conceded defeat to Isabella and Ferdinand, the Catholic monarchs of Portugal and Spain, who went on to expel the Jews from the territory under their control. Europe became a Christian project. In the same year Christopher Columbus arrived in the Caribbean and Europe also became an imperial project with a planetary reach.
The origins of the racial ideology can be seen in this period, in which ideas about religion came to be entangled with fantastical ideas about the imagined purity of blood. But it was in the English colony of Virginia in the seventeenth century that the legitimation for the exclusion from the count of the human began to move from claims made in the name of religion to claims made in the name of science. This is the point at which modern racism, rooted in the appearance of the body, began to cast its malignant shadow across the planet.
The author argues that the struggle to put an end to the epoch of world history that opened in 1492 will require new ideas, and new practices. It follows the Caribbean tradition that runs from Aimé Césaire to Frantz Fanon and Sylvia Wynter in affirming the need for a counter-humanism, a radical humanism, a humanism that, in Césaire’s famous phrases, is “made to the measure of the world”. There is a need for a shift in the ground of reason towards the lived experience and struggles of people rendered, in Wynter’s phrase, as ‘pariahs outside of the new order’.
DarajaPress uses Accessibility Checker to monitor our website's accessibility.


